Mwanga wa ulimwengu

Sehemu ya kioo cha rangi ikimuonyesha Yesu: Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu, Bantry, Ireland.

Mwanga wa ulimwengu (kwa Kigiriki φώς τοῦ κόσμου, Phṓs tou kósmou) ni neno ambalo Yesu alilitumia kujitambulisha pamoja na wanafunzi wake katika Agano Jipya[1]: linapatikana katika Injili ya Yohane kumhusu yeye (8:12; 9:5) [2] na katika Injili ya Mathayo 5:14 kuhusu wanafunzi.

  1. Names and Titles of the Lord Jesus Christ by Charles Spear 2003 ISBN 0-7661-7467-0 page 226
  2. New Testament christology by Frank J. Matera 1999 ISBN 0-664-25694-5 page 235

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy